ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Wednesday, September 5, 2012

NICKI MINAJ AFUNGUKA KUWA ETI YEYE NI BIKRA.

Hiphop star Nicki Minaj naona this time ameamua kutoa kauli ambayo imepata comments nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya mtandao wa Urban daily kumnukuu.
Onika Maraj a.k.a Nicki Minaj ambae kwenye historia hatosahau jinsi baba yake alipowahi kujaribu kumuua mkewe kwa kumchomea ndani ya nyumba amesema kwamba bado yeye ni bikra yani hajawahi kujihusisha kimapenzi na mwanaume toka azaliwe.
Inajulikana kwamba Boyfriend wake anaitwa Safari, maswali mengi watu wanayouliza ni kwamba siku zote amekua na huyo boyfriend wamekua wakiishi kama kaka na dada tu? inawezekana kweli mrembo kama Nicki Minaj akawa bikra?

Source;Millard Ayo

No comments:

Post a Comment