ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Tuesday, September 4, 2012

MICHAEL ROSS AKIRI KUWEPO KWA NDUMBA KWENYE MUZIKI WA AFRIKA MASHARIKI.

Kuna kipindi wimbi la stori za wasanii Tanzania kutumia uchawi lilipita sana bongo mpaka wasanii wakubwa wakajitokeza kukemea.
Sasa kama ulidhani Tanzania ndio inaweza kuwa nchi pekee afrika Mashariki wasanii wake kutumia juju, utakua umepotea…
Michael Ross anashare experience yake na sisi, akiamini kwamba uchawi kwenye muziki wa Uganda upo pia na watu wanautumia, lakini haamini kama uchawi unaweza kumsaidia.
Kwa miaka yote tisa anasema amefanya muziki na ametengeneza mkwanja na ametengeneza hits bila kujaribu kutumia uchawi, ndio maana haoni umuhimu wa kutumia uchawi ambapo kwenye line ya mwisho, mkali huyu kutoka 256 amesema hata kama msanii atatumia juju nyumbani kwao halitoweza kumsaidia kimataifa.

No comments:

Post a Comment