ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Monday, March 25, 2013

KUMBE CHID BADO HAJAKUA.

Rapper Chidi Benz, amempiga CowBama a,k,a
Ngwea nje ya Ambassador Lounge ikiyoko
Mkapatower, posta, usiku wa kuamkia leo.ugomvi
huo ulitokea baada ya Chidi kumzingua Dully
alipokua akiingia, ambapo mwisho wake aliamua
kuondoka.

Baada ya Dully kuondoka, Ngwea aliamua
kumuuliza Chidi (ambae mara nyingi huitana Dogo
lao), inakuaje unamzingua kubwa lao, ndipo Chidi
alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku
akitaka kutokumsikiliza Ngwea, inasemekana
Ngwea aliamua kukaakimya lakini Chidi aliendelea
kungea kwa hasaira na kusema"ndio nimemzingua
kwani yeye nani" na kumbadilikia Ngwea ambae
pia aliamua kuachana nae na kurudi ndani kwenye
meza aliyokua amekaa na washkaji zake,
haikuishia hapo Chidi amkamfata kwenye meza
hiyo na kuanza kumuongelea mbaya Ngwea, na
ndipo Ngwea akaamua kushuka chini ya jengo kwa
nia ya kuondoka.

akiwa huko huko chini Chidi alimfata na kumpiga,
ikiwa ni pamoja na kumkata na chupa mkononi,na
kupelekwa hospitali ambapo alitibiwa.
nimeongea na Ngwea ambae anasema haoni
chochote kilichomfanya kupigwa na msanii huyo.
Ngwea kwa sasa yupo katika kituo cha polisi
Oystabay kwa ajili ya kumfungua mashtaka, licha
ya kuumizwa pia ni kutokana na vitisho
alivyopewa na Benzi.
Sio mara ya kwanza kwa Chidi kupiga wasanii
wenzake..

KAJALA KUWA HURU SOON.


 HUKUMU ya kesi iliyokuwa inamkabili staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja na mumewe imetolewa leo na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar. Katika hukumu hiyo Kajala amehukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 13 na mumewe kwenda jela miaka saba au kulipa faini ya shilingi milioni 200.


 Kajala alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada ya mumewe, Faraji Agustino kukumbwa na msala wa kutakatisha fedha haramu.

Sunday, March 24, 2013

LIL WAYNE SASA HIVI YUKO FIT.

Rapper Lil Wyne ambae ameingia kwenye headlines wiki hii kutokana na taarifa za kuzidiwa kwake na kulazwa hospitali ikidaiwa anaugua degedege, amejitokeza kwa mara ya kwanza kwenye video akiongea kuhusu tour yake na T.I ambapo kabla ya kuanza kuizungumzia aliwashukuru fans wake kwa maombi wakati akiwa hospitali.

GRADES MPYA ZA O LEVEL ZATOLEWA

Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:

A = 81%-100%
B = 61%-80%
C = 41%-60%
D = 21%-40%
F = 0%-20%

Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:

A = 80%-100%
B = 65%-79%
C = 50%-64%
D = 35%-49%
F = 0%-34%




Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo.

BIFU LA NEY WA MITEGO NA NIKKI MBISHI LAIVA?!

Katika kile kinachoonesha bifu ya Ney wa Mitego na Nikki Mbishi kufikia pabaya, Ney amemmwagia matusi ya nguoni rapper huyo wa ‘Kill Yo Self’ kupitia BBM.


Bifu la wasanii hao lilianza baada ya Nikki kudaiwa kurekodi wimbo uitwao Ney wa Mitego ambayo anamzungumzia msichana mwenye jina hilo na ambaye ana tabia za ukicheche.
 
“Nikki Mbishi acha us***ge k***m*yako utaf***a siku si nyingi kwa ambao huyu shoga ni rafiki yao BBM mtajua kwanini naongea hivi. Serious Nikki utaf**ika muda si mrefu unatabia za kike we m***nge nimekuvumilia sana kumbe una tabia sawa na dada yako …!! Jipange,” ameandika Ney.

CHINUA ACHEBE MWANDISHI WA "THINGS FALL APART" AMEFARIKI DUNIA.

Mwandishi mashuhuri kutoka Nigeria Afrika Chinua Achebe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 ambapo familia imekataa kuweka wazi sababu za kifo chake.



 
Chinua ambae amekua akitumia wheel chair toka mwaka 1990, amefariki dunia akiwa hospitali Boston Marekani jana asubuhi.

Kitabu cha kwanza cha Achebe ambacho ni ‘Things fall apart’ inasemekana ndio kitabu kinaachoongoza Afrika kwa kuchapishwa kwa lugha tofauti ambacho pia kilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1958.

MASHABIKI WA SIMBA WAZICHAPA WAKATI WA MAPOKEZI YA RAGE



Mashabiki hao wa Simba walizichapa baada ya kugundua baadhi yao walikwenda uwanjani kwa lengo la kumfanyia vurugu mwenyekiti wao wakati wa mapokezi, kabla ya mashabiki kutwangana, mashabiki waliokuwa wakimuunga mkono mwenyekiti wao walikuwa wakiimba nyimbo mbalimbali na walionekana wenye matumaini makubwa na Rage huku wakisisitiza bado wanautambua uongozi wake na hakuna anayeweza kumuondoa zaidi yao wenyewe.
 

Hata hivyo, baadaye lilitokea kundi dogo la mashabiki wa Simba ambalo lilisadikiwa kuwa ni kundi la Mpira Pesa ambalo limekwenda uwanjani hapo kwa ajili ya kufanya fujo na hivyo kuanza kushambuliwa kwa makonde wakidaiwa kuhusika na mkutano uliotangaza kumwondoa Rage madarakani.


MWANAMKE MMOJA KENYA APIGWA RISASI NA POLISI KIMAKOSA.



Tuesday, March 19, 2013

MUIGIZAJI SNURA ANATANGAZA KUTAFUTA MUME ATAKAEMPA UHURU.




MSANII wa filamu na muziki mwenye mvuto wa aina yake Snura Mushi ‘Snura’, ameamua kutoa la moyoni kwa madai kuwa sasa anatafuta mwanaume wa kuweza kufunga naye pingu za maisha lakini kwanza kabisa akubali kumpa muda mrefu wa kutafuta pesa ili asiwe tegemezi baada ya kuingia ndani ya ndoa hiyo. 

Akiongea kwa mbwembwe, Snura alidai si kwamba hataki kuolewa bali hataki kuishi ndani ya ndoa na kuwa tegemezi kwa mwanaume.



“Sitaki kuishi na mwanaume kabla hajakubali kunipa muda wa mimi kutafuta pesa...



Najua anaweza kuwa na uwezo wa kila kitu lakini hivyo vyote vitakuwa vya kwake na mimi natakiwa kuwa na mali zangu, lakini bila hivyo nitazeekea kwangu,” alisema.

TIGER WOODS AVUTA MANZI MPYA.

Kibongobongo way back walikwishawahi kusema mapenzi ni kikohozi, na haiwezekani kuyaficha na leo hili limethibitika baada ya Golfer wa dunia, Tiger Woods kuamua kukiri kuwa katika mahusiano na bibie Lindsey Vonn ambaye naye pia ni mwanamichezo.


Tiger ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi lakini ameomba baada ya watu kufahamu kuwaacha wafanye yao na kuheshimu privacy yao





MWONEKANO MPYA WA AMBER ROSE BAADA NA KABLA YA KUJIFUNGUA.







Monday, March 18, 2013

WIZKID AMWAGA MKWANJA KWA MASHABIKI.

Kufuatia mafanikio makubwa kimuziki ambayo msanii wa muziki wa Naijeria, Wizkid ama Weezy kama anavyojulikana sasa, mwishoni mwa wiki aliamua kufanya kitu cha kipekee huko Lagos kwa kufanya onyesho la bure kwaajili ya mashabiki wake.


Wizkid mwenyewe amesema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na ukweli kuwa kipaji cha kuimba amekipata bure bila kumpa Mungu kitu chochote.




Zaidi ya kupiga show bure, Msanii huyu pia aliamua kugawa mpunga kidogo kwa wapenzi wa kazi zake ambao walikuwa na bahati.

USIISHI KWA HISTORIA.

 Utamuacha wanamke fulani kwa kashfa zote na kejeli za kila namna kwamba hafai
na haoleki ILA Mwanaume yule atamchukua na kudate 
nae na pengine atamuoa na wataishi
kwa furaha na kuzaa watoto,
atasahau  hata kama
 uliwahi kuwa Boy wake na kashfa
 zako
Kapata Perfect Match yake....Mwanamke fulani
ataachwa na wewe utakutana nae
na kumpokea,na pengine utamuoa na kuishi kwa amani.
Umepata Perfect match yako..
Hii inaitwa Love Circle...
 
Hakuna Mwanaume wala Mwanamke 2nd hand/Used 
kwamba hafai...
Kama hafai kwako kuna 
mtu kwake huyo mdada ni 
Malkia...
Kama hafai kwako,kuna
 mdada 
anamtamani amfanye awe 
mfalme wake..
Binadamu hana Mshale wa 
kuonyesha Kilomita ngapi 
katembea au ana listi ya watu 
mia
ngapi!
Kuna watu wametumika kwelikweli,wameshusha
 engine mara6 na kumwaga oil nyeusi
ila wameolewa na kutulizwa ndani..
Wewe unayejiona mpya mpya unanukia Nylon bado
unamanga manga...Haijalishi ww ni Mpya au Used,
when ur perfect match arrives,
everything else about Past 
will be history!