ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Tuesday, April 2, 2013

MADHARA YA KUTOA tiGO KWA WANAWAKE,WENYEWE NDIO WANAJIDANGANYA NDO HABARI YA MJINI KUMBE USHENZI MTUPU.

MADHARA YA MWANAMKE KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
1.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua
ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele
ya jamii.




2.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana 
na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter 
inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.

5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea 
mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria 
wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
6. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa,
pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu,
kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.

Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako.
Nina imani umeona baadhi ya madhara hatari kwa mwanamke kuingiliwa
kinyume cha maumbile. Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza muda mrefu
utamsumbua kuuacha kutokana na hali anayokutana nayo.
Lakini ukiivumilia kwa muda lazima itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.

No comments:

Post a Comment