ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Thursday, April 11, 2013

JIGGA APIKA NGOMA USIKU WA MANANE KUWAJIBU HATERS WALIOPAKA MBOOOVU.

Baada ya issue ya yeye na mke wake kwenda nchini Cuba kwa anniversary yao kuwa issue ya kitaifa ambayo pia imetokelezea katika headlines duniani kote, Jay Z ameamua ku open-up... na rapa huyu ameingia studio usiku wa jana na kurekodi ngoma hii hapa ambayo ndiyo kwanza imefunguliwa katika makaratasi, OPEN LETTER ndio jina la ngoma. Pia kuwa kazi hii ni mkono wa producer Timberland na Swizz Beats.

No comments:

Post a Comment