ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Wednesday, April 17, 2013

LULU ADONDOSHA BOONGE LA PARTY SIKU YAKE YA KUZALIWA,AFUNGUKA JUU YA UMRI WAKE.

Mwigizaji Elizabeth Michael (Lulu) ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa April 17 ambapo aliandika  umri wake kwenye  keki  ili kuondoa utata ambao ulijitokeza ambapo taarifa nyingine zilisema amezidi miaka 18 lakini nyingine zikisema yuko chini ya miaka 18.








Credits; MillaDy Ayo

No comments:

Post a Comment