ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Wednesday, April 3, 2013

WIZKID APATA SHAVU KWA KUTAJWA NA CHRIS BROWN KUWA ALIMFUNDISHA KUCHEZA STYLE YA AZONTO ALIVOKUJA GHANA.

Msanii Wizkid wa Nigeria ambae amewahi kuingia kwenye rekodi ya nyimbo zake kuombwa na wanafunzi anazidi kupata mashavu ya staa wa dunia mwimbaji Chris Brown.



Mara ya mwisho Wizkid alikula shavu baada ya Chris Brown kumuita kwenye stage na kufanya nae show kidogo wakati akiwa Ghana wiki kadhaa zilizopita lakini sasa hivi CB amempa shavu Wizkid kwenye interviw aliyofanyiwa na show kubwa ya burudani ambayo ina mashabiki mamilioni vijana kutoka sehemu mbalimbali za dunia ya 106 & Park ya Television ya BET.





CB akizungumzia Album yake, aliizungumzia staili ya kucheza ya Azonto ambayo anasema alifundishwa kuicheza na staa wa muziki Wizkid kutoka Nigeria, namkariri akisema “ni staili inayotaka kufanana kama na ya Michael Jackson, utaiona kwenye video… vuta subira tu!! nimejifunza kutoka kwa Wizkid, sitaki kusema nimeianzisha mimi…. nimeitoa kwa Wizkid, ni msanii mkali wa Nigeria”

No comments:

Post a Comment