ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Wednesday, April 17, 2013

D`BANJ APANIA KUFANYA KUFURU KATIKA SIKUKUU YAKE YA KUZALIWA JUNE.

June Tarehe 23 mwaka huu, ambayo pia ni siku ya kuzaliwa (birthday) ya Coco Master D Banj anatarajia kufanbya kile ambacho hakijawahi kufanyika katika historia ya burudani Afrika, kutokana na mpango wake wa kumdondosha katika birthday party kwaajili ya perfomance msanii Koffi Olomide, Fally Ipupa... na kama hiyo haitoshi, 











Dbanj atamshusha mnyamwezi mwenyewe 2 Chains kutoka 'mbele' kwaajili ya kuja kuwamaliza kabisa wale watakaoattend siku hii.

No comments:

Post a Comment