ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Saturday, April 27, 2013

HEBU SIKILIZA NGOMA HII YA UPCOMING ARTISTS TOKA MORO TOWN THEN UNIAMBIE UNAWASHAURI NINI ILI WAKAE VIZURI NA WACOPE NA INdUSTRY HII YA MUSIC WA KIBONGO!!

Toa support kwa music mzuri wa kitanzania vijana toka moro town waite Golden Icon zao la kwanza toka kwangu........fanya kama unaownloa ngoma yao hapa then uniambie wanafanyaje huu mzk na unawashauri nini ili waweze kusonga mbeele........ushauri wako ni muhimu sana kwetu we keep it rock!!!legooo http://hu.lk/s6be5m7e9p8g

No comments:

Post a Comment