Mamlaka ya hali ya hewa
Tanzania imetoa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa zinazofahamika kama El
nino katika kipindi cha kuanzia wiki ya nne ya mwezi September hadi
kufikia December 2012 katika maeneo mbalimbali Tanzania.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo
Dr. Agnes Kijazi amesema hizo mvua zinatarajiwa kusababishwa na
mgandamizo mkubwa wa mfumo wa hewa kutoka katika misitu iliyo katika
ukanda wa bahari ya hindi, tahadhari iwafikie wote wakiwemo wakulima na
wanaoishi kwenye maeneo ya mabonde.Source;Millard Ayo
No comments:
Post a Comment