Hiphop star Nicki Minaj naona
this time ameamua kutoa kauli ambayo imepata comments nyingi sana kwenye
mitandao ya kijamii baada ya mtandao wa Urban daily kumnukuu.
Onika Maraj a.k.a Nicki Minaj
ambae kwenye historia hatosahau jinsi baba yake alipowahi kujaribu
kumuua mkewe kwa kumchomea ndani ya nyumba amesema kwamba bado yeye ni
bikra yani hajawahi kujihusisha kimapenzi na mwanaume toka azaliwe.
Inajulikana kwamba Boyfriend
wake anaitwa Safari, maswali mengi watu wanayouliza ni kwamba siku zote
amekua na huyo boyfriend wamekua wakiishi kama kaka na dada tu?
inawezekana kweli mrembo kama Nicki Minaj akawa bikra?
Source;Millard Ayo
No comments:
Post a Comment