Mwasiti ambae kwa sasa anafanya vizuri sana na pini lake MAPITO, ametoa
info kuwa kwa sasa amefanya ngoma na producer mkubwa marekani anaeitwa
Hakeem.
Producer Hakeem ameshatengeneza ngoma ya Akon (i wanna be with
you),ngoma ya Youssundou na nyingine kibao."Nimefanya nae ngoma mbili moja
ikizungumzia wanawake na matatizo yanayowakuta, ila ya pili ipo kibongo
fleva zaidi, nimefurahi sana na naiheshimu sana kazi yangu." amesema Mwasiti.
Source;Dj Fetty
Pages
Search This Blog
ushauri
Fay Pub
![Fay Pub](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhro4DShjpM1VVNc91gE9e8sqItv2katgNCxfmNpQmcPCADiEgPwSE23pjcfk_HXhJMtbLiTXQG3ND938ttfN2PU8hivdyChddB2b1uhm6oOgwNfWUtcwmKuyca161NkFaAp-zAUFtRSdwH/s760/FAY.jpg)
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453
tangaza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment