Blog hii inamilikiwa na kuendeshwa na vijana wa Kitanzania wenye marafiki wengine nje ya nchi kama India,Ukraine,England na Malaysia ambao wameamua kutumia muda wao kuandaa na kuendesha blog hii wote ni wanafunzi wa vyuo mbali mbali Tanzaniana wanafanya kazi hii pamoja na masomo yao badala ya kuspend muda wao wa ziada kwa kufanya mambo mengine mabaya yasiyo ya kujenga jamii na Taifa kwa ujumla,kama ulevi,madawa na kukesha club...
Hivo basi tunaomba mtuunge mkono kwa njia moja ama nyingne ili kuokoa kizazi hikii kwa kujiajiri kama hivi hapa.....
Tunawashukuru saana na mtegemee mengi kutoka kwetu kwa kadri ya uwezo wetu na uwezo wa Mwenyezi Mungu!!!!
Asanteni sana na mnakaribishwa kwa ajili ya maoni na ushauri ili kuboresha blog yetu hiiii......
Kama una ishu yeyote unataka kufanya na sisi usiache kuwasiliana nasi kwa;-
Manager
Fredy Temu
+255717532818
+255767532818
fredyse1@hotmail.com
Fredy SeventeenEleven Temu
Fredyze1
2689874B
Assistant Manager
Anne George Mbelwa
Moderators
Prince Willy Abramovich
+255716207338
na
Harieth Subira Jastin Mbise
Pia like our page facebook ;
citybangz.blogspot.com
click here to like our page in facebook
No comments:
Post a Comment