ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

PICK OF THE DAY

Hapa kutakua na mtu mmoja mmoja kutoka popote pale ambae atakua interested kutupa a brief history of his daily mishez and lifestyle kwa ujumla including pictures,akiwa home,chuo ama kitaa.
Pia kwa wale wenye BIRTHDAYS inawahusu hii kwa saaaana
FULL KUTUPIA

Tuma yo shots(Pichaz) na kitu unachotaka kuandikwa kwenda fredyse1711@gmail.com

######################################################



 Sugu na family








Picha hii imepigwa siku wasanii walipoitwa na KTMA kutangazwa majina ya nominees wa tuzo hizo.
(Kwenye picha ni FA,AY na Linex)


================================================



==========================================================


=================================================

Yaliyojiri kwenye siku ya kuzaliwa ya CEO WA WAZAWA Mtu mzima Crama boy kwa wale wa BBM wanamsoma vizuuuuriii













==================================================================



  Pick ya leo ni picha ya mbibi huyu mi imenifurahisha wewe je???



============================================


Jana ilikua BIRTHday ya rafiki yetu kipeeenzi wa BBM maarufu kama LIZBETH MISHIKO kwa wale wa BBM jina hilo si geni kwao kitu kilihappen mbaaya pale FAY PUB maeneo ya Sinza mastaa kibao na wajanja kibaaaao walitokelezea kihivi hapa nakudondoshea some of the shots of what jas happenned HONGERA SANA sister Liz najua Moderator Wille Nyimbi aliusoma mchezo mzima......leggoooooo!!!!


 Wishing you more fun than a monkey in a tree full of fruit - like it is really possible to be happier than that lucky guy. Happy Birthday.





 A friend is someone who understands your past, believes in your future, and accepts you just the way you are - even if you are getting older. Happy Birthday.


 Some people look old and feel young. Some people look young and feel old. Some people like us look young and feel young. Feels good to party on your birthday doesn't it?


 You will never be as young again as you are today, so have fun. But be careful, because you have never been this old before. Happy Birthday.




 Another year has passed but rather than count the years, let me just say how much we count on you. Happy Birthday.






On this special day, I wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many more to come... HAPPY BIRTHDAY!!!!






========================================

Unaweza ukafikiri shimo kumbe ni mchoro.


===============================================

Blowing out another candle should mean that you have enjoyed another year and made the world a better place than when you blew out fewer candles. Make every day and every candle count. Happy Birthday.



==============================================

Another year has passed and as you celebrate your birthday this year and turn a year older. May you have all that you wish for come true. Have a happy birthday!





***********************************************************************

03/04/2013

Pick of the day ya leo ni katuni maarufu ya Tom N Jerry ambayo kwa maneno mengine naweza sema ni katuni maarufu zaidi duniani na ambayo imetafsiriwa kwa lugha nyingi zaidi.


--------------------------------------------------------------------------

02/04/2013
My little young sister anaitwa Careen Temu a.k.a BABY



__________________________________________________________________________________


Anaitwa ; Anna Magoma
Anasoma ; Ardhi University(Dsm)
Anakaa ; Arusha na Dsm
Anapenda ; kuangalia Movies

Hapendi ; kudharauliwa
Leo ni Birthday yake ; 24th March
O level amesoma ; TASS na Usa River Academy
A level amesoma ; Morogoro Secondary







------------------------------------------------------------------------------------------------------------



PICK YA 20th March 2013
Anaitwa Annastaciah George

Anaishi Dar Es Salaam

Anasoma SAUT

Anapenda Music,Movies,Travelling & making new friends

Leo ni siku yake ya kuzaliwa

Hapendi majungu na umbea







Yuko in a serious relationship  




__________________________________________________________________________________



Huyu anaitwa Happy John



Anakaa Arusha

Amemaliza A level Morogoro

Hapendi gossips, unafiki na kufuatiliana

Leo ni birthday yake

No comments:

Post a Comment