LULU ADONDOSHA BOONGE LA PARTY SIKU YAKE YA KUZALIWA,AFUNGUKA JUU YA UMRI WAKE.
Mwigizaji Elizabeth Michael (Lulu)
ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili ya
kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa
April 17 ambapo aliandika umri wake kwenye
keki ili kuondoa utata ambao ulijitokeza ambapo taarifa
nyingine zilisema amezidi miaka 18 lakini nyingine zikisema yuko chini
ya miaka 18.
Credits; MillaDy Ayo
No comments:
Post a Comment