Dbanj atamshusha mnyamwezi mwenyewe 2 Chains kutoka 'mbele' kwaajili ya kuja kuwamaliza kabisa wale watakaoattend siku hii.
Pages
Search This Blog
ushauri
Fay Pub
tangaza
Wednesday, April 17, 2013
D`BANJ APANIA KUFANYA KUFURU KATIKA SIKUKUU YAKE YA KUZALIWA JUNE.
June Tarehe 23 mwaka huu, ambayo pia ni siku ya kuzaliwa (birthday)
ya Coco Master D Banj anatarajia kufanbya kile ambacho hakijawahi
kufanyika katika historia ya burudani Afrika, kutokana na mpango wake wa
kumdondosha katika birthday party kwaajili ya perfomance msanii Koffi
Olomide, Fally Ipupa... na kama hiyo haitoshi,
Dbanj atamshusha mnyamwezi mwenyewe 2 Chains kutoka 'mbele' kwaajili ya kuja kuwamaliza kabisa wale watakaoattend siku hii.
Dbanj atamshusha mnyamwezi mwenyewe 2 Chains kutoka 'mbele' kwaajili ya kuja kuwamaliza kabisa wale watakaoattend siku hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment