Katika
kile kinachoonekana kuwa ni mwendelezo wa ugomvi wa Sintah na
Rayuu, wasanii hawa wameendelea kurushiana matusi ya nguoni na
kuumbuana kila siku......
Sintah aliwahi mtuhumu Rayuu kuwa ni kahaba mwenye kiwango na aliyeshindikana.Tuhuma hizo zilikuja baada ya picha za uchi za msanii Rayuu kuvuja mtandaoni zikionesha makalio na matiti yake.
Baada
ya tuhumu hizo, Rayuu naye ameendelea kufichua mambo mengi
kuhusiana na Sintah kwa kudai kuwa Sintah ni kahaba na haoni
aibu maana umri wake umeenda....
Rayuu anadai kuwa ukahaba ulimfanya Sintah aachwe na Juma
Nature.Msanii huyu ameenda mbali zaidi baada ya kudai kuwa
amewahi muona Sintah kwa macho yake akijiuza maeneo ya Manzese.
No comments:
Post a Comment