BREAKING NEEEEWZZZZ!!!!! BI KIDUDE HATUKO NAE TENA DUNIANI.
MSANII
WA MUZIKI WA TAARABU NCHINI TANZANIA KUTOKA VISIWANI ZANZIBAR FATUMA
BINT BARAKA MAARUFU KAMA BIBI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA LEO HUKO VISIWANI
ZANZIBAR. NA KWA KUMKUMBUKA TU AMESHA WAHI KUFANYA KAZI NYINGI IKIWEMO
MHONGO WA JANG'OMBE, KIJITI, ALAMINADURA, YA LAITI, AHMADA NA NYINGINE
NYINGI.
MUNGU NA AMPUMZISHE MAHALA PEMA PEPONI AMINA.
NA KWA HABARI ZAIDI FUATILIA VYOMBO VYA HABARI.
No comments:
Post a Comment