Baada ya issue ya yeye na mke wake kwenda nchini Cuba kwa anniversary
yao kuwa issue ya kitaifa ambayo pia imetokelezea katika headlines
duniani kote, Jay Z ameamua ku open-up... na rapa huyu ameingia studio
usiku wa jana na kurekodi ngoma hii hapa ambayo ndiyo kwanza
imefunguliwa katika makaratasi, OPEN LETTER ndio jina la ngoma. Pia kuwa kazi hii ni mkono wa producer
Timberland na Swizz Beats.
Pages
Search This Blog
ushauri
Fay Pub
![Fay Pub](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhro4DShjpM1VVNc91gE9e8sqItv2katgNCxfmNpQmcPCADiEgPwSE23pjcfk_HXhJMtbLiTXQG3ND938ttfN2PU8hivdyChddB2b1uhm6oOgwNfWUtcwmKuyca161NkFaAp-zAUFtRSdwH/s760/FAY.jpg)
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453
tangaza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment