Kama siku mbili tatu hizi mwanadada
Komando Lady Jay Dee (Jide) ambae anafanya fresh na ngoma yake ya Joto
Hasira akiwa na Prof. Jay ameonekana akifunguka na kutoa ya moyoni,
issue kubwa ni kuhusu nyimbo zake kutopigwa na kituo flani cha radio,
leo amefunguka zaidi na kutaja wasanii wawili ambao walikatazwa kufanya
show Nyumbani Lounge sehemu ambayo inamilikiwa na Jide.
Ben Pol nae akajibu
No comments:
Post a Comment