ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Sunday, October 28, 2012

MATONYA AFUNGUKA KUHUSU MAENDELEO YAKE KUHUSISHWA NA NDUMBA.


Kwa yeyote anaefatilia bongofleva toka kitambo kidogo najua jina la Matonya lazima litakua kwenye list ya familia ya wanabongofleva.
Ni jina ambalo limekua kwenye vichwa vya vizito vya habari mara kadhaa kutokana na stori kama ya kukamatwa na dawa za kulevya Chinapamoja na stori nyingine.
Stori ya mwisho mimi kuisikia na nikawa na hamu ya kuifahamu ni kuhusu taarifa kwamba msanii huyu mzaliwa wa Tanga  amekwama kwenye ishu zake za maendeleo kwa sababu kuna watu wanamloga asifanikiwe tena ikiwemo kukwamisha uzinduzi wa hoteli yake aliyoijenga Tanga ambayo ilitakiwa kufunguliwa toka miezi sita iliyopita.
Namkariri akisema “nilikua na harakati hizo za kufungua hoteli lakini majukumu yalinizidi nguvu kidogo lakini taratibu yangu iko palepale japo ile time niliyotarajia haikufanikiwa lakini bado nina mpango huo japo sitotaja siku, kuhusu ushirikina hiyo inasemekana lakini siwezi kusema ni kweli au sio kweli kwa sababu hayo ni mazingira ambayo yametuzunguka, mazingira yetu sisi waswahili”

Source;Millard Ayo

No comments:

Post a Comment