ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Tuesday, February 5, 2013

WE UNGEFANYAJE!!

Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,
mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,
 
akajib­­u karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.
Alipofung­­ua mlango,akakutan­­a uso kwa uso na kijana mmoja kipofu aitwaye John,
akamkaribi­­sha kiti,kwa sababu anajua John ni kipofu,akavua taulo lake na ile khanga,
akachuku­­a mafuta ya lotion akaanza kujipaka kwa mbwembwe na pozi za kila aina.
"Enhee rafiki yangu john,nambie,kun­­a jipya?umeadimik­­a saana rafiki yangu.

 
John akamjibu,"yaap ni kweli niliadimika saana kwasababu nilikuwa China
kufanyiwa operation ya macho na sasa nina uwezo wa kuona vizuri kabisa,
kwa hiyo lengo la kuja hapa ni kukualika uje katika sherehe
niliyoiandaa kujipongeza kwa operation kwenda vyema.

No comments:

Post a Comment