ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Tuesday, February 5, 2013

POKEA HIII?!

Utamuacha Mwanamke fulani kwa kashfa zote na kejeli za kila namna
kwamba hafai na haoleki ILA Mwanaume mwingine atamchukua na kudate nae
na pengine atamuoa na wataishi kwa furaha na kuzaa watoto,
atasahau  hata kama uliwahi kuwa Boy wake na kashfa zako...
Kapata Perfect Match yake....
Mwanamke fulani ataachwa na wewe utakutana nae na kumpokea,
na pengine utamuoa na kuishi kwa amani.Umepata Perfect match yako..
Hii inaitwa Love Circle...
 
Hakuna Mwanaume wala Mwanamke 2nd hand/Used kwamba hafai...
Kama hafai kwako kuna mtu kwake huyo mdada ni Malkia...
Kama hafai kwako,kuna mdada anamtamani amfanye awe mfalme wake..
Binadamu hana Mshale wa kuonyesha Kilomita ngapi katembea



au ana listi ya watu mia.
Kuna watu wametumika kwelikweli,
wameshusha engine mara 6 na kumwaga oil nyeusi,
ila wameolewa na kutulizwa ndani..
Wewe unayejiona mpya mpya unanukia Nylon 
bado unamanga manga...
 
Haijalishi ww ni Mpya au Used,
when ur perfect match arrives,
everything else about Past will be history!

No comments:

Post a Comment