Diamond Platnums ambae
aliongoza kwa kuwa msanii wa bongo alieandikwa sana kwenye internet
mwaka 2012 amethibitisha kumnunulia mkoko mama watoto wake mtarajiwa.
aliulizwa kuhusu
fununu za kutumia Milioni 15 kununua gari la mke wake mtarajiwa
mtangazaji Penny ambae kwa sasa ni mjamzito.

Alipoulizwa kuhusu kumuoa na
kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi kusema lini
ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time
inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia “
No comments:
Post a Comment