Amber Rose na mchumba wake Wiz Khalifa sasa ni wazazi wanaojivunia
kwa
kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.Sebastian Taylor Thomaz (yes, ikiwa
na a z mwisho) amezaliwa siku ya Alhamis mchana Mapema siku
hiyo a proud papa Wiz Khalifa posted a
picture wearing scrubs na face mask na maelezo yaliyokuwa yakisema
"daddy time" meaning wakati wa baba.
Mida ya saa nane mchana akipost, "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!!
Everyone welcome this perfect young man into the world"mara ya mwisho
wawili hao. Amber na Wiz, walionekana katika tuzo za grammy.
No comments:
Post a Comment