Baada ya
kupiga shows katika nchi kadhaa Europe kama Holland, Norway and now
yupo Germany, Tanzanian Bongofleva singer Bob Junior ambaye anatamba na
nyimbo kibao amepata mchongo mwingine wa kupiga show nchini Denmark ili
kuwapa burudani mashabiki wake wa huko.
Akichonga
kutoka pande za mamtoni Bob junior alikiri kuwa na show nchini humo
tarehe 29 mwezi huu "yah nipo na show denmark tru dat 29 march". pia
chanzo kimoja kutoka Denmark kimekiri Bob Junior kuwa na show hiyo.
No comments:
Post a Comment