1)Umeajiriwa kazi na
kutimuliwa baada ya siku 30 bila malipo, ujuwe una mkosi
(2)Una-download kitu
kinafika 99%
kina-fail, ujuwe una mkosi
(3)Umenunua simu leo laki 3,kesho
inaporomoka bei mpaka laki moja na nusu, ujuwe una mkosi
(4)Umetumia pafyumu kali lakini bado kikwapa kinatema, ujuwe una mkosi
(5)Gari lako linakaa muda mwingi kwa fundi kuliko
barabarani, ujuwe una mkosi
(6)Umesajiliwa kama
beki katika timu
fulani,mtihani wako wa kwanza ni kumkaba messi, ujuwe una mkosi
Panya katafuna cheti chako cha chuo sehemu ya jina lako tu!, ujue una mkosi
Unakunjia sura post za watu wakati zako wanazitemea mate:p , ujuwe una mkosi
Umetoka kuamka unajikwaa kidole cha mwisho kwa nguvu zote:& , ujuwe una mkosi
Unanichukia wewe mbulula wakati mama alonizaa ananipenda<3 , ujuwe una mkosi
No comments:
Post a Comment