ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Thursday, January 24, 2013

MWAMINI NANI

ANGALIA MAPENZI YA USALITI!
 

 Siku 1 wapenzi walipanga kwenda juu ya ghorofa
 na kuamua kufumba macho yao
 kisha wajiachie pamoja ili wawe tayari kufa
 pamoja lakini sio kutengana, 

Mume akajitupa mke akasita na kurudi nyuma
 kisha akawa anamcheka mwenzie
 huku akisema kafie mbele huko!,



Mume nae kumbe alificha parachuti na kulikunjua
 kabla kufika chini mara akatikisa
 kichwa nae akisema aaah unabahati sana 
wewe nilikusudia nikuulie mbali nyau wee!

 
Je! nani msaliti kati ya hawa..?

2 comments: