Wakati mwingine Relationship zetu ni kama
Glasi ya bei mbaya sana,
iliyoanguka kutoka ghorofani,
unaipenda sana maana
umekuwa ukiitunza kwa
uangalifu,
na uliinunua kwa gharama..
Lakini...Glasi hii imeanguka na imesagika vipande,
kujaribu kuviokota vipande hivi unajikuta unakatwa na vipande vya hiyo glasi,
mwili mzima unachuruzika damu kwa Maumivu...
Sometimes,
inapaswa tu ukubaliane na matokeo kwamba Glasi hiyo haiwezi kutumika tena
zaidi ya kukukata tu...
Some of our Broken hearts will never mend....
Take care na Glass yako huyo Boy au Girl wako.
No comments:
Post a Comment