Msanii wa muziki wa siku nyingi Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi
ameitaja sababu ambayo ilimuweka kwa muda bila kufanya ngoma yeyote
amefunguka kuhusu kazi nyingine anayoifanya akiwa nje
ya muziki .
misosi amesema muda mwingi anapokuwa kimya anakuwa anafanya kazi nyinge ambayo amesomea ya ufundi wa umeme.
No comments:
Post a Comment