Mwanamziki anayesifika dunia kwa kutumia kiuno chake Shakira amefanikiwa
kupata mtoto wa kiume usiku wa kuamkia leo...
Mzazi mwenzie akiwa ndio mtu wa
kwanza kuanika habari hizi alitumia account yake ya twitter kuandika
"mtoto wetu wa kiume amefanikiwa kuzaliwa... Asanteni kwa pongezi...."
I
just wanna congratulate them and wish all the best in their new life
kama baba na mama wa mtoto huyu ambae mpaka naandika post hii hatujapata
jina lake.
source:Kadinda
No comments:
Post a Comment