Rapper Kanye West jana jumapili amethibitisha kwamba mpenzi wake girlfriend wake ambae ni Tv Star Kim Kardashian ni mjamzito.
Alipokua kwenye stage, Kanye
aliiambia timu yake isimamishe kupiga mziki ambapo baada ya hapo akasema
make some noise kwa my baby mama.
sOurce;Millard Ayo
No comments:
Post a Comment