ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Sunday, March 17, 2013

MAPENZI NA WAKATI.








Wakiwa wachumba kasave jina la mchumbake,HONEY,BABY,MY,SWEET

walipooana kasave DARLING.

Walipopata mtoto akasave BABA COLLIN,

walipozoena akasave JOHN,

walipoendelea kuishi akasave MSUMBUFU.

Muda ulivyozidi akasave MBWEGE.

Thursday, March 14, 2013

SHOMBE SHOMBE BOB JUNIOR AKUBALIKA VIBAYA NA WAZUNGU NA KUPATA SHOW ZAIDI

Baada ya kupiga shows katika nchi kadhaa Europe kama Holland, Norway and now yupo Germany, Tanzanian Bongofleva singer Bob Junior ambaye anatamba na nyimbo kibao amepata mchongo mwingine wa kupiga show nchini Denmark ili kuwapa burudani mashabiki wake wa huko. 



Akichonga  kutoka pande za mamtoni Bob junior alikiri kuwa na show nchini humo tarehe 29 mwezi huu "yah nipo na show denmark tru dat 29 march". pia chanzo kimoja kutoka Denmark kimekiri Bob Junior kuwa na show hiyo.

PAPA MPYA AANZA KAZI RASMI

Siku yake ya kwanza ofisini kama Papa mtakatifu wa kanisa Katoliki, Papa Francis 1 tayari anaanza kazi. Papa anatarajiwa kuwateua 




wafanyakazi wakuu watakaohudumu katika Vatican chini ya uongozi wake. Ameanza siku yake kwa maombi ya kibinafsi katika hekalu ya mtakatifu Maria Maggiore mjini Rome. Baadaye Papa atafanya misa ya sherehe katika kanisa la Sistine. 


Uteuzi atakaofanya Papa Francis, utatizamiwa kama ishara ya mageuzi katika uongozi uliozongwa na kashfa nyingi na pia utaonyesha mwelekeo anaonuia kuchukua kwa kanisa hilo. 



Baadaye wikendi ijayo, Papa mpya anatarajiwa kukutana na vyombo vya habari vya dunia katika mkutano maalum.

Na Jumapili, ataongoza misa yake ya kwanza kama papa. Hata hivyo yeye mwenyewe atatawazwa rasmi kuwa Papa Francis 1, siku ya Jumanne.

DIAMOND AVUTA MKOKO WA PENNY

Diamond Platnums ambae aliongoza kwa kuwa msanii wa bongo alieandikwa sana kwenye internet mwaka 2012 amethibitisha kumnunulia mkoko mama watoto wake mtarajiwa.


 
aliulizwa kuhusu fununu za kutumia Milioni 15 kununua gari la mke wake mtarajiwa mtangazaji Penny ambae kwa sasa ni mjamzito.

Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema “nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake”

Alipoulizwa kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia “

Wednesday, February 27, 2013

WIZ KHALIFA BABA.....DUH!!!!

Amber Rose na mchumba wake Wiz Khalifa sasa ni wazazi wanaojivunia
kwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.Sebastian Taylor Thomaz (yes, ikiwa na a z mwisho) amezaliwa siku ya Alhamis mchana Mapema siku hiyo a proud papa Wiz Khalifa  posted a picture wearing scrubs na face mask na maelezo yaliyokuwa yakisema "daddy time" meaning wakati wa baba. 

Mida ya saa nane mchana akipost, "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!!
Everyone welcome this perfect young man into the world"mara ya mwisho wawili hao. Amber na Wiz, walionekana katika tuzo za grammy.

Tuesday, February 5, 2013

POKEA HIII?!

Utamuacha Mwanamke fulani kwa kashfa zote na kejeli za kila namna
kwamba hafai na haoleki ILA Mwanaume mwingine atamchukua na kudate nae
na pengine atamuoa na wataishi kwa furaha na kuzaa watoto,
atasahau  hata kama uliwahi kuwa Boy wake na kashfa zako...
Kapata Perfect Match yake....
Mwanamke fulani ataachwa na wewe utakutana nae na kumpokea,
na pengine utamuoa na kuishi kwa amani.Umepata Perfect match yako..
Hii inaitwa Love Circle...
 
Hakuna Mwanaume wala Mwanamke 2nd hand/Used kwamba hafai...
Kama hafai kwako kuna mtu kwake huyo mdada ni Malkia...
Kama hafai kwako,kuna mdada anamtamani amfanye awe mfalme wake..
Binadamu hana Mshale wa kuonyesha Kilomita ngapi katembea



au ana listi ya watu mia.
Kuna watu wametumika kwelikweli,
wameshusha engine mara 6 na kumwaga oil nyeusi,
ila wameolewa na kutulizwa ndani..
Wewe unayejiona mpya mpya unanukia Nylon 
bado unamanga manga...
 
Haijalishi ww ni Mpya au Used,
when ur perfect match arrives,
everything else about Past will be history!

WE UNGEFANYAJE!!

Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,
mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,
 
akajib­­u karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.
Alipofung­­ua mlango,akakutan­­a uso kwa uso na kijana mmoja kipofu aitwaye John,
akamkaribi­­sha kiti,kwa sababu anajua John ni kipofu,akavua taulo lake na ile khanga,
akachuku­­a mafuta ya lotion akaanza kujipaka kwa mbwembwe na pozi za kila aina.
"Enhee rafiki yangu john,nambie,kun­­a jipya?umeadimik­­a saana rafiki yangu.

 
John akamjibu,"yaap ni kweli niliadimika saana kwasababu nilikuwa China
kufanyiwa operation ya macho na sasa nina uwezo wa kuona vizuri kabisa,
kwa hiyo lengo la kuja hapa ni kukualika uje katika sherehe
niliyoiandaa kujipongeza kwa operation kwenda vyema.