Rapper wa Young Money Drake kutoka Canada amesema pamoja na album yake ya tato kuvuja hajawahi kuwa na mategemea ya mauzo kwenye album hii kama rappers wengine wanavyo kuwa wakitegemea kuuza copi milioni 1 ndani ya mwezi au wiki kwenye mauzo. Drake amesema kutokuwa na mategemeo kutamunguzia kujiskia vibaya kama atauza chini ya kawaida yake.
Drake amesema kazi ya album hii ni Kazi Ya Mapenzi Yake Kwa Muziki Na Mashabiki na anataka idumu kwenye masikio ya watu kwa muda mrefu, ni album ya kudumu na imefanyiwa kazi kwa muda wa mwaka moja na nusu alifunguka Drake.

No comments:
Post a Comment