Mshindi namba mbili wa BBA 2012 CMB Prezzo ameanza kupata nguvu ya kuendelea na kazi yake kubwa ya siku zote ambayo ni muziki.
May 4, 2013 Prezzo amekubali na kutekeleza mwaliko wa ku cheza kwenye
Pool Party Dar es Salaam Tanzania akiambatana na wasanii wengine kama
Avril na Kelmah kutoka Kenya, pamoja na Mwana FA kutoka Tanzania.
Bado haijatimia miezi mitatu toka Mnigeria Goldie ambae alikua mpenzi wa
Prezzo afariki dunia ambapo kwenye Exclusive interview, Prezzo alisema
machungu aliyonayo bado hayampi nafasi ajisikie kuwa karibu na mwanamke
yeyote kimapenzi.
No comments:
Post a Comment