TAARIFA KUTOKA BUNGENI MUDA HUU AMBAPO WAZIRI LUKUVI AMETANGAZA
KURUDIWA UPYA KUSAHISHWA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA
2012,
HII IMETOKANA NA MAPENDEKEZO YALIYO TOLEWA NA TUME ILIYO UNDWA
KUCHUNGUZA TATIZO LA WANAFUNZI WENGI KUFELI KATIKA HUO MTIHANI,PIA
AMESITISHA KUANZA KUTUMIKA KWA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU.
Pages
Search This Blog
ushauri
Fay Pub
tangaza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment