Ni vizuri kuusupport mziki mzuri wa kitanzania tena kutoka kwa vijana wadogo walioamua kujiariri wenyewe basi fanya hiviii ponyeza HAPA kuudownload mziki mtamu namzuri toka kwa kijana wa BUKOBA mwenye maskani yake Arusha muite EDger Method thenn utuoe sisi feedback tujue tunausukuma vipi mzuziki huu wa kibongo mbelee.
Pages
Search This Blog
ushauri
Fay Pub
tangaza
Saturday, May 25, 2013
Sunday, May 12, 2013
ngoma mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, C-Low
Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, C-Low akiwa amemshirikisha mwanamuziki Yard Bash pamoja na mwanadada Tammy kwenye ngoma "SIDE B" ...
SIDE B ni mdundo wa ngoma ambao umefanywa na producer Nahreel pamoja na Mr. Thomas wakati video imetengenezwa na Director 2.5D pamoja na Wyclif kutoka kampuni ya Touch Of Art Vision Pro Creative Minds ...
Enjoy both the Audio and Video ...FOLLOW LINK BELOW
http://t.co/CW7YAoVzl4

Thursday, May 9, 2013
PONda aHUKUMIWa KIFUNGO CHa MWaKa MMOJa NJE.
Makahama
ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam leo imemuhukumu Katibu wa Jumuiya
na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda kifungo cha
nje cha mwaka mmoja, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru.
BUKUKU APATA MCHUMBA MPYA
MWIMBAJI
wa Muziki wa Injili , Bahati Lusako Bukuku amefunguka kuwa amepata
mchumba lakini tatizo linabaki kuwa mume wake wa zamani, Daniel Basila
ambaye anasuasua kumpa talaka yake
Akizungumza jijini Dar juzikati, staa huyo anayetamba na wimbo wake wa Dunia Haina Huruma aliweka wazi kwamba hivi karibuni Mungu amemjalia kupata mchumba ambaye anahofia kumwanika kwa kuwa anabanwa na kifungo cha ndoa yake ya kwanza aliyofunga na Basila.

Bahati alisema kuwa kifuatacho inabidi adai talaka yake kwa nguvu zote
hata ikiwezekana kufikishana polisi ili aondokane na kifungo cha ndoa
hiyo na aanze mipango ya ndoa kwa kuwa hataki kumtendea Mungu dhambi.
Alisema kuwa, mara nyingi amekuwa akimkumbusha mumewe huyo wa zamani kuhusu talaka lakini amekuwa akimwambia asikonde talaka yake ipo hivyo avute subira.
Bukuku aliolewa na Daniel na kufanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye alifariki dunia mwaka 2006 kabla staa huyo kutengana na mumewe.

Prezzo IN dSM
Mshindi namba mbili wa BBA 2012 CMB Prezzo ameanza kupata nguvu ya kuendelea na kazi yake kubwa ya siku zote ambayo ni muziki.
May 4, 2013 Prezzo amekubali na kutekeleza mwaliko wa ku cheza kwenye
Pool Party Dar es Salaam Tanzania akiambatana na wasanii wengine kama
Avril na Kelmah kutoka Kenya, pamoja na Mwana FA kutoka Tanzania.
Bado haijatimia miezi mitatu toka Mnigeria Goldie ambae alikua mpenzi wa
Prezzo afariki dunia ambapo kwenye Exclusive interview, Prezzo alisema
machungu aliyonayo bado hayampi nafasi ajisikie kuwa karibu na mwanamke
yeyote kimapenzi.
Monday, May 6, 2013
Ommy Dimpoz KUACHIA MZIGO MPYA NA AVRIL PIA SIKIA UWEZEKANO WA KUWAPO MAHUSIANO YA KIMAPENZI KATI YA DIAMOND PLATNUMZ NA AVRIL.
Kwa wale woote ambao wamekuwa wakisubiri kwa hamu ile ngoma ya bi
dada Avril kutoka Kenya na Bongo's finest Ommy Dimpoz ambayo ilikuwa
izinduliwe mwishoni mwa mwezi uliopita kama ilivyokuwa imetangazwa,
story ni kwamba mipango haikuenda kama ilivyowekwa hasa kutokana na
kupishana sana kwa ratiba za wasanii hawa wawili, ikizingatiwa pia kuwa
kwa sasa Dimpoz yupo nnje ya nchi kikazi.
Avril ambaye kwa sasa yupo hapa Bongo amesema kuwa, ngoma hii bado
haijakamilika kabisa, na kuna mambo kadhaa ya kugusa kwa upande wa
mastering ili iwe katika kiwango chake, na pia kwa mujibu wake, Jina la
ngoma hii huenda likawa ni 'Hellow Baby'.
Ngoma hii inabeba story ya wapenzi wawili ambao umbali umekuwa ni changamoto kubwa katika mapenzi yao.
On the other hand, kwa wale watu kibao ambao walikuwa na hamu ya kusikia Mwanadada huyu anazungumziaje mahusiano yake na Diamond, Hii ni nukuu fupi kutoka katika maelezo yake, 'Diamond and I are just proffessional friends'.
KAMA YOU LIKE GOOd MUSIC BASI FANYA HIVIIII!!!
Sasa unaweza kumpigia kura SHEDDY CLEVER kuwa producer bora wa mwaka
2012~2013 anaechipukia.Tuma BF5 kwenda namba 15345 au ingia www.kilitimetz.com
umuwezeshe SHEDDY CLEVER.
Nyimbo alizo fanya kwa mwaka 2012 ni MARRY ME
wa RICH MAVOKO, ZILIPENDWA ya MATONYA, MTOTO AMEKUA wa PASHA,
YATAKWISHA wa BEN POL na LINNAH na nyingine nyingiii, Muwezeshe Dogo
Achukue Mzigo huo kwani kwa kazi alizofanya hakika anastahili, Tunaomba
Support Yenu.
Powered by www.citybangz.blogspot.com
Friday, May 3, 2013
BREAKING NEEEWS!!! KIJANA AJITUPA TOKA GHOROFA YA 9 MPAKA CHINI KARIAKOO.
Muda
si mrefu huyu kaka kajirusha toka ghorofa ya 9 concord hotel kariakoo
akaangukia kwenye hiyo taxi chanzo hata hakijulikani kapatwa na nini,
ni mfanya biashara anaitwa Shirima kakimbizwa hosp.
MATOKEO YA FORM 4 YAFUTWA MITIHANI KUSAHIHISHWA TENA.
TAARIFA KUTOKA BUNGENI MUDA HUU AMBAPO WAZIRI LUKUVI AMETANGAZA
KURUDIWA UPYA KUSAHISHWA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA
2012,
HII IMETOKANA NA MAPENDEKEZO YALIYO TOLEWA NA TUME ILIYO UNDWA KUCHUNGUZA TATIZO LA WANAFUNZI WENGI KUFELI KATIKA HUO MTIHANI,PIA AMESITISHA KUANZA KUTUMIKA KWA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU.

ALICHOKISEMA Gadna G JUU YA WOSIA WA LAdY JAYdEE
Ipi ni Kauli yako juu ya Wosia wa Lady Jay Dee...?
Gadna G: Ni maneno ambayo yametoka moyoni mwake na ni maneno mbayo anajitetea kama msanii, mimi kama Meneja ukiacha pia kama mke wangu naendelea kumsapot kwa kile ambacho anaona ni sawa, basi mimi nitaendelea kumsaport na kujaribu kuzungumza na Lady Jay Dee, mara nyingi anasema tu kwamba watu wasifikilie ni swala la wimbo kupigwa au kutokupigwa, hayo ni mambo ya kawaida lakini wafikirie tu kwamba huyu mtu anaongea kutokana experience yake aliyokuwa nayo na wale watu.
Baada ya mwaka 2003 kuacha kufanya kazi kwenye management yao ya Smooth Vibe, yalitokea mambo mengi hapa katikati ila hakusema lakini siku za hivi siku za karibuni kuna mengine ambayo yametokea, ndio akaona hapana nisipo sema nitazidi kukandamizwa na matokeo yake nitakufa kisabuni.

Hii ni kama vita mmejipangaje..?
Gadna G: Unapoamua kusema ukweli swala la kujipanga mara mbili huwa halipo, ni kwamba unasema ukweli watu wasikie naukizungumzia uhasama watu watauliza juu ya uhasama lakini ulikuwepo tayari kwahiyo tu watu wanajua kwa sasa kwa kuwa jdee ameamuwa kuongea lakini tu hawajui tu kwamba jdee alikuwa na matatizo na wale watu tangu kipindi cha nyuma sababu wale watu wanafumo dume ya kufanya kazi na alipoachananao aliona kama wanamfatilia kulekule ambapo yeye alipo

Nini mlikiona kama chokochoko...?
Gadna G: Unajua kwa mfano unaweza kumuomba mtu maji akakwambia sina, ukayaona yale pale ukamwambia niuzie akakuuzia ila bado alivyokuuzia akaona kama unafaidi, mwisho akakwambia yameisha nenda sehemu nyingine, ukaenda sehemu nyingine na ukayapata bure, akaona umepata akaamua kukufata kulekule na akakukuta unakunywa maji kwenye grasi kisha akakuputa, sasa hapo inabidi useme hapa unavyofanya sio sawa ndo hicho anachofanya Jay Dee sasa hivi.

Hali hii imewaathiri kwa kiasi gani...?
Gadna G: Cha kushukuru Mungu ni kwamba msanii au hata pia stesheni ya redio inategamea umma wa Watanzania au hata mashabiki kwa ujumla kwa kuwepo kwake. Jay Dee anapata saport nzuri kutoka Watanzania, basi ujue hata hajaathirika chochote, na pia tu anaendelea kufanya kazi kwa bidii, ila tu isipokuwa unapoona mtu anafanya madhara ili tu mtu apate athari fulani ndio unasimama kuongea, ndiyo maana tuna Bunge na watu wanasimama, watu wanaongea, watu wanatetea hoja, ndiyo maana yake. Yani lazima mtu usimame useme ukweli kwa unalohisi hili jambo litanipa madhara nisiposema.

Kwa Wasanii wengine unawaambiaje...?
Gadna G: Uwoga ni kitu ambacho binadamu tumeumbiwa, wakati mwingine unasaidia wakati mwingine unakudhiru uwoga wako,kwa sababu wanasema adui wa maendeleo yako mwenyewe ni wewe mwenyewe, ndiyo maana uwoga wako unaeza ukasabishwa ukakandamizwa zaidi, ndiyo maana wazee wetu waliweza kusimama na kuikomboa hii nchi kwa sababu walisimama hawakuogopa. Wangeogopa hii leo hii nchi tusingekuwa huru, kwa hiyo kama kuna mtu ana jambo na anaogopa kusema hilo ni jambo la kawaida kuogopa, lakini wakati wa kusema ukifika usiogope kusema ili mradi useme ukweli, basi inatosha....

Kauli yako ya mwisho ni ipi..?
Gadna G: Ni kwamba wanahitaji kujua ukweli na kuambiwa ukweli, mtu yoyote anayejua kitu cha kweli anaweza kusema sio sawa, utaendelea kukandamizwa. Kauli ya mwisho ndo hiyo wanahitaji kuambiwa ukweli na kusikia ukweli ili kama wanakosea wasiendelee kukosea wabadilikee….
Mwisho..!
Thursday, May 2, 2013
LIL WAYNE HOI TENA.
Lil Wayne ni moja ya watu ambao kwa sasa afya zao zinatajwa kuwa katika hatihati hasa baada ya rapa huyu kuzimia kwa mara nyingine siku ya juzi na kupelekwa hospitali ambapo alitoka jana na michongo hii yote ikiwa inafanyika kwa siri kubwa.
Mapema mwezi March Lil Wayne alikiri hadharani kuwa ana ugonjwa wa kifafa kwahiyo kudondoka dondoka kwake ni kitu cha kawaida, na hii ni nukuu ya maneno yake mwenyewe hasa baada ya tukio la mara ya mwisho la kulazwa hospitali kwa wiki nzima akiwa katika wodi ya wagonjwa mahututi.
"The thing is, man, the bad news is, I'm an epileptic, so I'm prone to seizures," he said. "This isn't my first, second, third, fourth, fifth, sixth, seventh seizure. I've had a bunch of seizures; y'all just never hear about it. This time it got real bad because I got three of 'em in a row, and on the third one, my heart rate went down to, like, 30 percent. Basically, I could've died soon. That's why it was so serious. The reason being for the seizures is just plain stress, no rest and overworking myself. That's typical me, though."
Hadi sasa hakuna mtu yoyote kutoka katika timu ya rapa huyu ambaye ameibuka kuzungumzia chochote kutokana na tukio hili.

SCHOLARSHIP!! SCHOLARSHIP!! SCHOLARSHIP!! SCHOLARSHIP!! KAMA UNA NdUGU AU RAFIKI ANAEHITAJI KUJA KUSOMA INIA HII NI MUHIMU SANA SOMA HAPA!!
SCHOLARSHIP
Get admission in 2013 to study Bangalore University, India, for all courses, with 50% scholarship on tution fees.

TUTION FEES STRUCTURE
First year; 2000 Dollars
Second year; 1000 Dollars
Third year; 1000 Dollar
ACCOMODATION
Is 1000 Dollars per year
Is 1000 Dollars per year
ACADEMIC QUALIFICATION
Form 6 starting with one principle or diploma or the one who have no principle should not have more than one F.
TUITION FEES FOR MASTER DEGREE/POST GRADUATE
First year; 3000 Dollars
Second year 2000 Dollars
REGARD ADMISSION.
E-mail; kkoverseasedulink@gmail.com
Phone; +919535914895
FOR DETAILS
Call our consultancy in TANZANIA
Phone-0717532818
E
mail;fredyse1@hotmail.com
Wednesday, May 1, 2013
NA UGUMU WOTE LAKINI UNAAMBIWA Drake KWA MAMA YAKE HUMWAMBII KITU!!
Moja ya vitu ambavyo Drake Ni kuwa karibu na Mama Yake Mzazi Sandi Graham na kula good Time naye, na hata rapa huyu amefikia hatua ya kutok mitoko mingine mikubwa na mama huyu kama date wake.
Subscribe to:
Posts (Atom)