ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Wednesday, April 3, 2013

BIFU LA SINTAH NA RAYUU LAZIDI KUKOLEA.





Katika kile kinachoonekana kuwa ni mwendelezo wa ugomvi wa Sintah na Rayuu, wasanii hawa wameendelea kurushiana matusi ya nguoni na kuumbuana kila siku...... 


Sintah aliwahi mtuhumu Rayuu kuwa ni kahaba mwenye kiwango na aliyeshindikana.Tuhuma hizo zilikuja baada ya picha za uchi za msanii Rayuu kuvuja mtandaoni zikionesha makalio na matiti yake.

 Baada ya tuhumu hizo, Rayuu naye ameendelea kufichua mambo mengi kuhusiana na Sintah kwa kudai kuwa Sintah ni kahaba na haoni aibu maana umri wake umeenda....
   
 
Rayuu anadai kuwa ukahaba ulimfanya Sintah aachwe na Juma Nature.Msanii huyu ameenda mbali zaidi baada ya kudai kuwa amewahi muona Sintah kwa macho yake akijiuza maeneo ya Manzese.

SHIRIKA LA NYUMBA LATOA TAMKO JUU YA GHOROFA LILILOPOROMOKA.

Shirika la nyumba la Taifa NHC limekiri kwamba ndio mmiliki wa kiwanja kilichokua kimejengwa jengo la gorofa 16 ambalo liliporomoka siku kadhaa zilizopita Dar es salaam na kusababisha vifo vya watu 36 na kujeruhi 18.
Mkurugenzi Mkuu Nehemia Mchechu amesema kwa kawaida shirika la nyumba limekua likiingia ubia na watu binafsi wenye uwezo wa kujenga nyumba kama hizo ambapo liliingia ubia na kampuni ya ujenzi ya RAZA na kusaini mkataba wa kujenga jengo lenye gorofa 10 tu kwenye eneo hilo ingawa baadae kampuni hiyo iliomba kubadili mkataba ili wajenge gorofa 16.
Kuhusu umiliki kwa asilimia 25 kwenye jengo lililoporomoka, Mchechu amesema kwa ubia uliokuwepo walipaswa kupewa asilimia hizo baada ya ujenzi kukamilika na asilimia nyingine 25 wangepewa miaka kumi baadae kulingana na mkataba na hawakupaswa kuhusika kwenye gharama zozote wala taratibu za ujenzi.
.
.
Namkariri akisema “february 15 2011 ndio walituandikia kwamba wanakusudia kuongeza gorofa zifike 16 na kwamba wanawasiliana na Mamlaka husika kwa ajili ya kupata vibali hivyo na wakifanikiwa wangeomba kuongezewa muda wa kumaliza mradi na pia baada ya kupata kibali wangetutaarifu kwa ajili ya kufanya marekebisho ya mkataba”
Kwenye line nyingine, NHC imeunda timu kwa ajili ya kufanya ukaguzi katika miradi yake yote ya ujenzi wa ubia ili kujihakikishia usalama wa majengo husika.

Source; Millard Ayo

LADY JAYDEE AZIDI KUWASHA MOTO NA CLOUDS FM LINNAH NA BEN POL NDANI.

Kama siku mbili tatu hizi mwanadada Komando Lady Jay Dee (Jide) ambae anafanya fresh na ngoma yake ya Joto Hasira akiwa na Prof. Jay ameonekana akifunguka na kutoa ya moyoni, issue kubwa ni kuhusu nyimbo zake kutopigwa na kituo flani cha radio, leo amefunguka zaidi na kutaja wasanii wawili ambao walikatazwa kufanya show Nyumbani Lounge sehemu ambayo inamilikiwa na Jide.
Ben Pol nae akajibu

Tuesday, April 2, 2013

VOTE! VOTE! VOTE GUYZ!!!

Kama ukiwa ndugu na raiki yetu wa karibu itakua poa saana ukiingia kwenye link hii hapa chini na kuvote kwenye hii picha ya mdogo angu huyo ili tuwe washindi


HII HAPO JUUU



http://www.facebook.com/pages/Be-Forward/180050085358616?app_data=%2Fentry%2F2001127%3F%3Df3uhge&ref=ts&sk=app_112813808737465

DONT CHEAT KAMA UMECHOKA WE SEPA TUU.......

Cheating On a Girl or Boy is deeper than people
realize.
It destroys her thoughts about love,
her future relationships and her heart.

 

MAANA YA NENO MOTHER, SO RESPECT LIFE GIRLS..........SAY NO TO ABORTION

M – O – T – H – E – R
 




“M” is for the Million things she gave me,
“O” means Only that she’s growing old,
“T” is for the Tears she shed to save me,
“H” is for her Heart of gold,
“E” is for her Eyes with love-light shining in them,
“R” means Right, and right she’ll always be

MADHARA YA KUTOA tiGO KWA WANAWAKE,WENYEWE NDIO WANAJIDANGANYA NDO HABARI YA MJINI KUMBE USHENZI MTUPU.

MADHARA YA MWANAMKE KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
1.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua
ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele
ya jamii.




2.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana 
na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter 
inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.

5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea 
mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria 
wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
6. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa,
pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu,
kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.

Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako.
Nina imani umeona baadhi ya madhara hatari kwa mwanamke kuingiliwa
kinyume cha maumbile. Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza muda mrefu
utamsumbua kuuacha kutokana na hali anayokutana nayo.
Lakini ukiivumilia kwa muda lazima itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.