Pages
Search This Blog
ushauri
Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453
tangaza
Tuesday, April 30, 2013
BIERBER AKUTWA NA MAdAWA YA KULEVYA KATIKA BASI LAKE LA TOUR.
Polisi nchini Sweden wamedai kukuta dawa za kulevya katika basi linalotumiwa na mwanamuziki Justin Bieber anapofanya ziara zake za kimuziki.
Msemaji wa polisi Lars Bystrom amesema kiwango kidogo cha dawa za kulevya na silaha moja vimekutwa katika basi hilo wakati polisi walipolivamia likiwa halina mtu na kuegeshwa katika ukumbi wa Globen mjini Stockholm ambapo mwanamuziki huyo alikuwa akifanya shoo.
Polisi huyo amekata kutaja aina ya dawa zilizokamatwa akisema zimepelekwa maabara kwa uchunguzi.
Hata hivyo hakuna mtu aliyekamatwa.
BABA MZAZI WA CHRIS BROWN AMTEMA RIHANNA NA KUMKUBALI SPARKS
Gazeti la New York Daily News
limefanya Exclusive interview na baba mzazi wa mwimbaji staa Chris Brown
na kutoa maoni yake kuhusu mahusiano ya kimapenzi ya mwanae na Rihanna
RiRi.
Clinton Brown amesema “sioni maisha marefu kwa Chris Brown kuwa na Rihanna, sijawahi kupendezwa na kurudiana kwao, unajua ni lazima kwenye uhusiano wa kimapenzi uwe na mtu sahihi ambae ni hitaji la kweli na linaloweza kuwa lako kwenye maisha, lakini sio kama hivi”
Clinton amesema hapendi kutumia mifano lakini anadhani watu wameona mahusiano ya mastaa kama Whitney Houston, Michael Jackson, Amy Winehouse na wengine”
Kuhusu mrembo ambae angependa kuona anaolewa na mwanae, Clinton amemtaja Jordin Sparks kwa kusema “nimempenda Jordin, ni msichana mdogo lakini mwenye upeo mkubwa… ana akili na heshima”

Monday, April 29, 2013
MAPENZI
3 top lies from Guy's
_i'm Sorry
_i love You
_i won't hurt you
3 top lies from girls
_i'm fine
_i'm not mad at you
_i don't love you
CHEATERS MPOOO!!
When A Cheater Says
" I Won't Cheat On You Again " .
They Really Mean " I Slipped ,
But Next Time You Won't Catch Me " .
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TOKA KWA LADY JAYDEE.
Katika mwaka huu 2013, Inatimia miaka 13 tangu nianze kazi ya muziki.
Nashukuru MUNGU tuko pamoja na pia, nashukuru umma wa Tanzania kwa
kuendelea ku support muziki wa Tanzania na kunipa nguvu mimi kama msanii.
Nashukuru vyombo vyote vya habari vinavyoshiriki kikamilifu kukuza
na kulinda sanaa ya Tanzania bila kujali maslahi binafsi.
Tumeandaa sherehe kubwa na nzuri ya miaka 13 ya LADY JAYDEE, katika
muziki.
Na mdhamini mkuu kwa upande wa media ni East Africa TV.
Sherehe ya miaka 13 ya Lady JayDee katika muziki itaambatana na uzinduzi
wa album yangu ya sita inayokwenda kwa jina la NOTHING BUT THE TRUTH
ambayo ina jumla ya nyimbo 10.
Katika sherehe hizo pia kutakuwa na show ya nyimbo zote bora za JayDee
nikishirikiana na baadhi ya wasanii wenzangu hapa nchini.
Sherehe zitafanyika Ijumaa tarehe 31 May 2013.
Nawakaribisha wote tufurahi pamoja
Na Mungu awabariki
Subscribe to:
Posts (Atom)