ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Wednesday, February 27, 2013

WIZ KHALIFA BABA.....DUH!!!!

Amber Rose na mchumba wake Wiz Khalifa sasa ni wazazi wanaojivunia
kwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.Sebastian Taylor Thomaz (yes, ikiwa na a z mwisho) amezaliwa siku ya Alhamis mchana Mapema siku hiyo a proud papa Wiz Khalifa  posted a picture wearing scrubs na face mask na maelezo yaliyokuwa yakisema "daddy time" meaning wakati wa baba. 

Mida ya saa nane mchana akipost, "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!!
Everyone welcome this perfect young man into the world"mara ya mwisho wawili hao. Amber na Wiz, walionekana katika tuzo za grammy.

Tuesday, February 5, 2013

POKEA HIII?!

Utamuacha Mwanamke fulani kwa kashfa zote na kejeli za kila namna
kwamba hafai na haoleki ILA Mwanaume mwingine atamchukua na kudate nae
na pengine atamuoa na wataishi kwa furaha na kuzaa watoto,
atasahau  hata kama uliwahi kuwa Boy wake na kashfa zako...
Kapata Perfect Match yake....
Mwanamke fulani ataachwa na wewe utakutana nae na kumpokea,
na pengine utamuoa na kuishi kwa amani.Umepata Perfect match yako..
Hii inaitwa Love Circle...
 
Hakuna Mwanaume wala Mwanamke 2nd hand/Used kwamba hafai...
Kama hafai kwako kuna mtu kwake huyo mdada ni Malkia...
Kama hafai kwako,kuna mdada anamtamani amfanye awe mfalme wake..
Binadamu hana Mshale wa kuonyesha Kilomita ngapi katembea



au ana listi ya watu mia.
Kuna watu wametumika kwelikweli,
wameshusha engine mara 6 na kumwaga oil nyeusi,
ila wameolewa na kutulizwa ndani..
Wewe unayejiona mpya mpya unanukia Nylon 
bado unamanga manga...
 
Haijalishi ww ni Mpya au Used,
when ur perfect match arrives,
everything else about Past will be history!

WE UNGEFANYAJE!!

Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,
mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,
 
akajib­­u karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.
Alipofung­­ua mlango,akakutan­­a uso kwa uso na kijana mmoja kipofu aitwaye John,
akamkaribi­­sha kiti,kwa sababu anajua John ni kipofu,akavua taulo lake na ile khanga,
akachuku­­a mafuta ya lotion akaanza kujipaka kwa mbwembwe na pozi za kila aina.
"Enhee rafiki yangu john,nambie,kun­­a jipya?umeadimik­­a saana rafiki yangu.

 
John akamjibu,"yaap ni kweli niliadimika saana kwasababu nilikuwa China
kufanyiwa operation ya macho na sasa nina uwezo wa kuona vizuri kabisa,
kwa hiyo lengo la kuja hapa ni kukualika uje katika sherehe
niliyoiandaa kujipongeza kwa operation kwenda vyema.