ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Thursday, December 27, 2012

ATTENTION!!!!!!


A young and talented Artist from the label SEE RECORDS under producer and director Fredyse1711 mwite Dennis Mlay a.k.a SHASO da MAse toka kundi la GOLDEN ICONS made by various artists and dancers like Gwiji Fr.......need yo support guyz coz muziki na dancing Tz inapunguza vijana from alcoholism and wizi?www.skia24.blogspot.com

enjoy your holiday with classic new bangs!representing GOLDEN ICONZ ts "SHASO" with a track "WE GETTING PAID"the track produced by ALFRED KOMBA "FREDYSTAR'' at baboon records,SHASO who represents GOLDEN ICONZ ,a crue made up of more than one artist that is to say is more than an empire,it includes rappers like GWIJIfr,YOUNG XKEE and SHASO him self including a singer FATMA D'LICIOUS!nevertheless GOLDEN ICONZ icludes dancers too and there we can mention Michael Wambura "the G.O.AT.",SMART GEE and others.ICONZ mention FREDYSE1 as their audio executive producer & director.For other updates visit facebook.com/golden icons.

 

Powered by skia24.blogspot.com & fredyse1.blogspot.com


Monday, December 24, 2012

FALLY IPUPA KUFYATUA MJENGO TANZANIA.




Mungu akijalia 2013 utakua mwaka ambao Tanzania itaingia kwenye headlines, Tanzania itapata mgeni miongoni mwa wageni ambao wamepanga kuja kuishi hapa.

Pamoja na ustaa alionao na utajiri alionao ambao umetokana na muziki anaoufanya, mkali ambae alichaguliwa kuiwakilisha Congo DRC kwenye kolabo na R. Kelly, mkali ambae alipenyeza mpaka kupata shavu la kufanya kolabo na staa Olivia wa G unit time hizo, Fally Ipupa ametangaza kwamba katika sehemu ya makazi yake Africa, anahitaji kuja kuishi Tanzania pia na mpango huo ameufikiria kuanzia mwakani.



Fally Ipupa ambae ni staa kwenye muziki Africa amesema mipango yake ya 2013 ni pamoja na kununua au kujenga nyumba na kuishi Tanzania.
Kwa sasa anaishi Congo ambako ndio kwao, ana miliki nyumba Paris Ufaransa pia ambako ameanza kuishi miaka 7 iliyopita, na baada ya kuvutiwa na Tanzania, Fally ameamua Tanzania iwe sehemu ya makazi yake.
Source:millard Ayo