ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Thursday, January 24, 2013

MWAMINI NANI

ANGALIA MAPENZI YA USALITI!
 

 Siku 1 wapenzi walipanga kwenda juu ya ghorofa
 na kuamua kufumba macho yao
 kisha wajiachie pamoja ili wawe tayari kufa
 pamoja lakini sio kutengana, 

Mume akajitupa mke akasita na kurudi nyuma
 kisha akawa anamcheka mwenzie
 huku akisema kafie mbele huko!,



Mume nae kumbe alificha parachuti na kulikunjua
 kabla kufika chini mara akatikisa
 kichwa nae akisema aaah unabahati sana 
wewe nilikusudia nikuulie mbali nyau wee!

 
Je! nani msaliti kati ya hawa..?

Tuesday, January 22, 2013

NENO

22 WAYS ON HOW TO KEEP A RELATIONSHIP
 
1. Build trust
2. Be honest
3. Be faithful
4. Be considerate
5. Respect each other
6. Become best friends
7. Be proud of one another
8. Be there for one another
9. Bear each other?s burden
10. Make time for one another
11. Communicate to each other
12. Trust and always pray to God
13. Accept each other?s mistakes
14. Appreciate each other?s effort
15. Take time and study each other
16. Love each other unconditionally
17. Refresh your love with surprises
18. Talk about things, both good and bad
19. Know that you won?t always be happy
20. Know that having arguments are normal
21. Forgive and forget each other?s mistakes
22. Leave the past to the past, which include ex?s

VIMEO MWANZO MWISHO.

1)Umeajiriwa kazi na
kutimuliwa baada ya siku 30 bila malipo, ujuwe una mkosi

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
(2)Una-download­ kitu
kinafika 99% 
kina-fail, ujuwe una mkosi

 
(3)Umenunua simu leo laki 3,kesho
inaporomoka bei mpaka laki moja na nusu, ujuwe una mkosi

 
(4)Umetumia pafyumu kali lakini bado kikwapa kinatema, ujuwe una mkosi

 
(5)Gari lako linakaa muda mwingi kwa fundi kuliko
barabarani, ujuwe una mkosi

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
(6)Umesajiliwa kama
beki katika timu
fulani,mtihani wako wa kwanza ni kumkaba messi, ujuwe una mkosi





 
Panya katafuna cheti chako cha chuo sehemu ya jina lako tu!, ujue una mkosi
 
 
Unakunjia sura post za watu wakati zako wanazitemea mate:p , ujuwe una mkosi
 
Umetoka kuamka unajikwaa kidole cha mwisho kwa nguvu zote:& , ujuwe una mkosi
 
Unanichukia wewe mbulula wakati mama alonizaa ananipenda<3 , ujuwe una mkosi

LOVE SUCKS!!

Wakati mwingine Relationship zetu ni kama 
Glasi ya bei mbaya sana,
iliyoanguka kutoka ghorofani,
unaipenda sana maana
 umekuwa ukiitunza kwa 
uangalifu,




na uliinunua kwa gharama..
 Lakini...Glasi hii imeanguka na imesagika vipande,
kujaribu kuviokota vipande hivi unajikuta unakatwa na vipande vya hiyo glasi,
mwili mzima unachuruzika damu kwa Maumivu...

 
Sometimes,
inapaswa tu ukubaliane na matokeo kwamba Glasi hiyo haiwezi kutumika tena
 zaidi ya kukukata tu... 
 
 
Some of our Broken hearts will never mend.... 
Take care na Glass yako huyo Boy au Girl wako.
 

Thursday, January 17, 2013

USIONE VYAELEA UJUE VIMEUNDWA MSIKIZE ROMA NA MSOTO WAKE MPAKA KUTOKA.

1. MWAKA 2006 nikiwa tanga nilitoroka shule asubuhi nikamfukuzia Mtangazaji wa Clouds Fm ya jiji Dar es Salaam, Hamis Mandi 'B-12' aliyekuja Tanga nadhani kwenye show ya Park Lane!! am not sure, nikamkuta ameshapanda basi na anataka kuondoka ikanibidi nikadandia basi na mimi na kuanza kumtafuta miongoni mwa abiria, kipindi hiyo hata simjui kwa sura nikasema atakayekuwa brazameni tu humu ndani ndio yeye, huku basi linaenda niligonganishana naye macho akasmile nami nikasmile, nikamfata nikamkabidhi cd ikiwa na nyimbo zangu 2 nilizirekodi kwa marehemu Mr. Ebbo zamani sana Motika Record!!!
MUNGU AMREHEMU!! 
 

 
"Braza ngoma zangu hizi samahani naomba kanipigie zipo poa sana na Tanga zimekubalika mno samahani sana kanipigie", akawa ananisisitiza poa zimefika kama kali zitapigwa, we shuka uwahi shule maana basi linazidi kwenda, nikashukia majani mapana kule kutokea standi!!!



Hazikupigwa zile ngoma na msoto ukaendelea kama kawa!! nadhani hazikuwa na kiwango bora au mimi sikuwa mkali!!!!



2. MWAKA 2007 nilirecord nyimbo yangu ya kwanza SALUTE kwa producer Abbuy wa Tanga, Studio za GOMBA RECORD, sasa wakati naipeleka Dar kwenye vituo vya redio nikakutana tena na B-12 akaniunganisha kwa Dj Nelly ambae alikuwa mjengoni kipindi hicho kama mmoja wa watu waliokuwa wanafanya kitengo cha muziki pale Clouds Fm.






Basi nikafika mjengoni kitega uchumi pale mchana mapema nimeambiwa nifike saa kumi mimi nimefika saa tisa, adabu za kale mbele hapo, kufika nje nikamwambia mlinzi nataka kumuona B-12 nina ahadi naye, daah nilipewa mkwara, nikaambiwa nikamngoje chini.
 


Sijakaa sawa mara bwana Matonya naona anapita pale na anaingia ndani bila bugudha kwa mlinzi, kidogo tena nikamuona A.Y naye akapita bila kuulizwa lolote, daaah moyoni nikawa natukana kimoyomoyo. 
 

Baadae B-12 akatoka akanipeleka hadi kwa Dj Nelly, ilikuwa kama oyaa Dj Nelly msikilize huyo mdogo wangu...dah jamaa akawa kama hasikii vile apo nimesimama na kacd kangu pembeni nashangaa tu kumbe huyu ndiyo Gadner na huyu ndiyo P.J okey hapo Jahazi ndiyo linataka kuanza.



Dj Nelly akaanza kusema 'oya sema shida yako?' nikajibu aaah braza mimi naitwa Ro.... akanikatisha haraka na kuniambia nina dakika 2 tu za kuongea naye, kisha akachukua CD akaiweka kwenye machine vile inaanza tu akaisimamisha hakuicheza tena, na hapo yani kaisikiliza nyimbo ndani ya sekunde 15 au 20 akaitoa CD na kunijibu hamna kitu Production mbovu na huwezi kuchana!!! kisha akamgeukia Gadna na kuendelea na hadithia zao, mimi nikamuuliza sasa braza nishauri nifanyaje? Oyaa dogo tuna maongezi hapa huoni!!? hatuwezi kupiga nyimbo kama hiyo akanijibu kwa ukali... dah nikakosa pozi nikaanza kusepa, huku moyoni najisemea, aah wewe Gadna si ni Mtanga mwenzangu wewe hata hutii neno kaka?.



Nikamfata B-12 wangu maana ndiyo alikuwa kimbilio langu mjini hapa, naye hakuwa na jinsi wal anamna ya kufanya maana hawezi kupiga nyimbo kama kitengo cha muziki hakujaruhusu, akanishauri nikairudie nyimbo ile kwa Dunga... kipindi hiyo Dunga alikuwa ndiyo gumzo.


Hivyo nikatoka pale nikaipeleka ngoma ile ile East Africa Radio nikaiandikisha na nikasepa hapo nauli inaelekea kuliwa, babaako nikalirudisha kunani Tanga moja.


Aaah! East Africa Radio bana wakanipigia simu na kusema nyimbo yako tunaitambulisha leo na wana segment inaitwa ipotezewe au iendelee kuwepo kitu kama hicho... basi nikiwa Tanga nikatega sikio kwenye satelite kusikiza baadae wakaipiga na ikapata kura 338 zikisema iendelee kuwepo na kura 34 zikisema ipotezewe nakumbuka hadi leo hiyo!!! basi nyimbo yangu ikapita na ikawa inapigwa pigwa east East Africa Radio.


Wakati huo huo samahani kabla sijaenda Tanga, nikiwa Dar nilikutana na Jaffarai alikuwa ni rafiki wa karibu wa braza yangu, braza akanitambulisha "Huyu mdogo wangu anaitwa Ebra au ROMA anarap na kaleta nyimbo yake"... hapo natamani jamaa aseme tuisikize... (si unajua zile ukiwa unajiamini na nyimbo ni nzuri) basi tukamshawishi aisikize, basi tukaenda kwenye gari na akaiweka.


Uwiiiiiiii! Jafarai akaanza "Aaah mbona anachana kama mwana FA? aaah! hana style yake huyu babu, tafuta style yako mzee, game gumu mzee, njoo kivyako man", sasa nikawa najiuliza nachana vipi kama Mwana FA? mh! nikaona ananikata tu nikamchana braza tuondoke bwana naona navurugwa tu. Tukaaga tukaondoka kinyonge!!


3. MWAKA 2008 nimeshajichanga nipo safi ndiyo nakuja Dar rasmi sasa kurekodi TANZANIA hapo nimeshaongea na Nahreal, na pia nakuja kuirudia ile ngoma iliyokataliwa radio nakuja kuirudia kwa Dunga.


Ndipo hapo tukiwa na braza mitaa ya mikocheni nadhani. Ndio tunakutana na Fid Q, Jafarrai na Mussa Hussein wa uswazi yule, tukafika na kaka hadi pale tukasalimia pale ila si unajua kisanii mara nyingi ukimsalimia mtu ni kama anakuwa anakukataa hivi anaitikia short short ndivyo ilivyokuwa.


Sasa kaka akaanza kuongea na Jafarai mambo yao tu aaah! katikati ndiyo wakachomekea kaka akamwambia Jaffarai "Aah! tunaenda 41 Record kwa Dunga nampeleka mdogo wangu huyu si unamkubuka"?? Jafarai akajibu aaah! huyu si yule wa kipindi kileee? hapo ujue mwaka umeshapita hapo, kaka akamjibu ndiyo huyu sasa amekuja kuirudia ile ngoma huku kwa Dunga!!


Jafarai akasema aaah amebadilika? au bado anachana vile vile? dogo badilika aisee! game gumu sana dogo kwa style ile unapoteza hela tu huwezi kutoka, sasa akaanza kunivuruga tena ila moyoni nikawa nasema " Mbona Fid Q haununui huu ugomvi? yani kwanini haulizi lolote daah! hapo Fid Q kajikausha hata hatusikilizi yani yeye busy wanaongea na Mussa tu, mimi nikawa natamani kaka aseme kitu tu.


Hatimaye Fid Q akaingilia "Oya kwani vipi babu? mbona kama unamnyea sana jamaa"? akamuuliza Jafarai? Jafarai akajibu "Aah! huyu dogo alikuja huku kama mwaka umepita hivi, akaniletea nyimbo yake, ila ni ya kiwaki!! sasa kaenda kujipanga na sasa karudi rasmi...

Fid akasema niaje babu? unaimba au unarap? nikamwambia narap!! akasema ok 1,2,3 twendee... mamamammama ndiyo nilichokisubiri kwa muda mrefu hiki.


Nikaanza kuchana nyimbo ile iliyokataliwa radioni na iliyopingwa na Jafarai... sasa kadri ninavyozidi kuchana naona jinsi bwana Kubanda anavyozidi kunogewa, namimi naongeza misifa hapo nachana tuu kwa hisia.


Ikawa poa sana kwake na akakubali hadi kuamka kwenye kiti na kunipongeza kuwa am good, lakini moynoi nikawa nataka nimchanie TANZANIA maana ndiyo nimekuja kuirekodi na ndiyo nina mzuka nayo na ndiyo naiona ni nyimbo kali, yani zile za (kama kadata nahii tu je Tanzania nikichana itakuwaje)? sasa nikamwambia ngoja nikuchanie nyingine... akakataa akasema aaah! mimi sitaki nyingine, nichanie hii hii iliyokataliwa.


Sasa nikapita nayo tena. Sasa ujuee na nyimbo hiyo ninayochana hapa ndiyo baadhi ya mashairi yake yamepita tena kwenye MATHEMATICS na MECHI ZA UGENINI... niliyarudia kwa vile sikutaka yapotee bure vitu kama "Ndoto zangu kitambo zilikuwa nije kuwa padre, zikayeyuka nilipopuliziwa moshi wa weed etc.


Basi Fid Q alikubali sana na hapo ndipo akasema una IQ sana bab...ndio chanzo cha ule mstari wa kusema "Nawazidi kwa IQ shahidi Fareed Kubanda"! ambapo tazama sasa nimeuimba kwenye ngoma ya 4 toka niambiwe hivyo na yeye.



Basi alikubali sana na akasema ni bora nikarudie kwa Macko Chali na akawa anampigia simu sema Marco hakupatikana akaniachia namba yake, sasa Jafarai na yeye alipoona Fid Q anakubali akawa na yeye anasema aah! dogo sasa amebadilika sasa hahaha! moyoni nikawa na furaha sana unajua inavyokuwa unakubaliwa na watu kama hawa kwa kipindi hicho u konw it!! nikaondoka na kaka tukawaacha majamaa, nikaendelea na hasso za kurekodi kwa Dunga na Nahreal!!! 
 


HIZO NI BAADHI ZA MICHONGO ILIYOHAPPEN KABLA HAIJATOKA WALA KUREKODIWA NGOMA YA KWANZA YANGU ILIYONITAMBULISHA "tanzania"


4. BASI YAPO MENGI SANA YANAJAA KITABU NADHANI NA MENGI NI YA KUSISIMUA.


NATAMANI NIPATE INTERVIEW TENA YA TV HARAFU NIHADITHIE KWA SAA MOJA NA ZAIDI YOTE HAYA.




SEMA YOTE HAYA UTAYAPATA KWENYE "DOCUMENTARY YA ROMA 2030" KUANZIA NAZALIWA HADI HAPA NILIPO SASA. (UZURI NI KUWA KUNA BAADHI YALIREKODIWA SO ITAKUWA IPO REAL SANA).


TUENDELEE KUNGOJA!!! NAJUA MNAENJOY NIKIFUNGUKA HIVI YAPO MENGI KAMA;


1. Mimi kukutana na kala na kugonganisha mawazo ya wimbo wa Tanzania na wa kwake wa wimbo wa Taifa.


2. Nakaaya kunizingua kwenye kumshirikisha katika ngoma yangu ya Tanzania, ila badae alinitafuta na kuniomba kolabo baada ya kutoka Mathematics.


3. Wasanii wakubwa kunikatalia kwenye kolabo zangu kama Mr. President na Tanzania, ndiyo maana nasimama bila kumshirikisha mtu kiivyo.


4. Nikki wa Pili alisababisha nikarekodi mechi za ugenini though yeye hajui hili.


5. Nilivyoingia kwa Duke M. LAB na kurekodi Mr. President lakini haikutoka, na mimi nikahamia Tongwe na kuanza kurekodi upya hadi leo nipo Tongwe.


6. Nilihit sana na Tanzania lakini Jay MO aliwahi kuniambia hanifahamu... ila siku zikaenda akaja akanifahamu na tukafanya naye MVUA NA JUA REMIX kwa majani.


7. Kwanini wadau wengi wakati natoka na Tanzania hadi Mr. President walinambia THAT IS HIP HOP!!! safi kaza mwana harafu leo inatoka hit kama Mathematics wanasema sifanyi hip hop!! napayuka!! naropoka!! napiga makelele!! sina stye!! na mengi tu hadi kusema tuzo sikustahili.... duuuh! HATARI AISEE!


8... NYIMBO YANGU YA TANZANIA ILIVYOKATALIWA NA RADIO STATIONS NYINGI, ADAM MCHOMVU ALIKUWA MBISHI SANA THANKS GOD AKAIPITISHA NA RADIO ZA MIKOANI ZIKASSUPORT MNO!!
..9.......10.....
Nawapenda sana watu wangu kuna vita kubwa sana dhidi yetu basi katika sala zenu msinisahau kuniombea niwe na afya njema na maisha yenye heri na baraka na marefu mimi na familia yangu na Tongwe wote na ndugu jama na marafiki wote!

UKIMYA TENA BAAAAASI!!!

Msanii  wa muziki  wa  siku nyingi Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi ameitaja sababu ambayo ilimuweka kwa muda  bila kufanya ngoma yeyote amefunguka kuhusu kazi nyingine anayoifanya akiwa nje ya  muziki .



misosi amesema muda mwingi anapokuwa kimya anakuwa  anafanya  kazi nyinge  ambayo amesomea ya ufundi wa umeme.

Pia misosi amesema hatokaa kimya tena kutokana na  muziki kumuweka  sehemu nzuri ikiwa ni pamoja na kumpa heshima.

KIAFRIKA ZAIDI.

Kinyumbani zaidi na kiAfrica zaidi.

WASANII KURUDI SHULE MUHIMU KAMA DULLAYO.

Msanii DULLAYO ambaye jana ameachia single mpya  inayoitwa bongo-movie amesema kuwa anatarajia kurudi  shule  kutokana na kuwa na mawazo ya kutaka kuufikisha muziki wake kimataifa,



Pia amesema kutokana na kuhitaji kuwa makini zaidi katika  masomo yake tayari ameshaanza  maandalizi ya  kutafuta  shule  nje ya  nchi  na nchi aliyoipendekeza  ni nchi ya  MALAWI.

BINTI!!!!CHEZA NA KILA KITU LAKINI SI MWANAUME.






BEFORE SEX*
 
1ST SCENE
JAMAA:"Mbona unajikuna sana kichwani swty?"
DEM:"Beib nywele zinaniwasha kweli."
JAMAA:"Itabidi uende salon(huku anatoa wallet
 mfukoni)
 
2ND SCENE
JAMAA:"Swity njoo home...nakungoj­a."
DEM:"Acha nichukue bus nakuja."
JAMAA:"Aaa chukua taxi,bus utachelewa."
DEM:"But beib..."
JAMAA:"But ya nini mrembo...we chukua taxi mi nitalipa."
DEM:"Ok beib am on ma way."

 
3RD SCENE
JAMAA:"Hi ma love morning,how was ur nyt?"
DEM:"Morning 2 u darling..it was gr8"
 
4TH SCENE
JAMAA:"Mbona kimya hun hata sms sioni?"
DEM:"Sina airtime."
JAMAA:"Acha nikimbie dukani nakusambazia credit sasa hivi hun."
DEM"Sawah beib am waiting."

 
5TH SCENE
DEM:"Beib am going out 2nyt."
JAMAA:"Aaah usiende bana hao marafiki zako 
wa kike siwaamini,watak­­ utafutia msela 
mwengine."
DEM:"Dont worry swty i only love u..mwaah "
 
*AFTER SEX*
 
1ST SCENE
JAMAA:"Acha kujikuna kichwa nawe."
DEM:"Jamani beib nywele zinaniwasha."
JAMAA:"Unataraj­­ia nini kama huzisafishi lazima ziwashe."
DEM:"Eeh jamani ishakuwa hivyo hun."
JAMAA:"Si unyoe tu nikupe 20 uende kunyoa?"
 
2ND SCENE
DEM:"Swty uko home nije?"
JAMAA:"Yep panda bus hapo uje..fanya haraka coz nataka kutoka."
DEM:"Lo! haya ma dear nakuja."
 
3RD SCENE
DEM:"U ok beib,yaani toka asubuhi hujanitext."
JAMAA:"Pole nilikuwa busy sana..sina tym ya kutext ovyo ovyo."
 
4TH SCENE
DEM:"Nitumie credit tuchat."
JAMAA:"kwani okoa jahazi ni ya kazi gani,ambia safaricom watakupa."
DEM:"Tobaa...po­­a tu."
 
5TH SCENEDEM:"Beib am going out."
JAMAA:"Najua waenda kutafuta mwengine...nend­­a na usinipigie tena!!"

Thursday, January 3, 2013

SHAKIRA APATA MTOTO WA KIUME.

Mwanamziki anayesifika dunia kwa kutumia kiuno chake Shakira amefanikiwa kupata mtoto wa kiume usiku wa kuamkia leo...

 Mzazi mwenzie akiwa ndio mtu wa kwanza kuanika habari hizi alitumia account yake ya twitter kuandika "mtoto wetu wa kiume amefanikiwa kuzaliwa... Asanteni kwa pongezi...." 

I just wanna congratulate them and wish all the best in their new life kama baba na mama wa mtoto huyu ambae mpaka naandika post hii hatujapata jina lake.






source:Kadinda

ZA CHINI YA KAPETI NI KWAMBA TUNDAMAN ACHAPWA MILLIONI SABA NA DEMU AKIWA MCHEZONI.

MSANII Tundaman baada ya kumcheka mwenzake Matonya na kumuimba kwenye wimbo wake kuwa alifungiwa ndani na mwanamke na kulizwa shilingi milioni 6, hali kwake imekuwa mbaya zaidi ambapo inadaiwa kuwa hivi karibuni amekombwa milioni 7 na mwanamke mmoja aliyelala naye na kujikuta akiwa hana hata chenji mfukoni.



Chanzo kimoja cha habari kilichozungumza na mwandishi kwa sharti la jina lake kutotajwa kilidai kuwa, msanii huyo alikuwa na sh milioni 7 ambazo alizipata kwenye moja ya show alizofanya hivi karibuni.


Mhabishaji huyo alisema kuwa baada ya kupata kiasi hicho cha pesa alisita kwenda kulala kwa rafiki yake Madee ndipo alipoamua kwenda kwa mwanamke huyo kwa lengo kutunza fedha hizo bila kuchukua tahadhari yoyote na fedha hizo, kitu ambacho kimempelekea kupoteza fedha zote huku mwenyewe akiwa kimya kwa hofu ya kuchekwa.


“Jamaa hadi leo kimya hafanyi tena mchezo wa kwenda kulala na demu na mshiko mrefu kwani kilichomkuta anajuta ni kwa nini alimuimba Matonya kwenye wimbo wake,” kilidai chanzo hicho. 

Source;Mateja

"WASTARA NI MWANAMKE WA UKWELI NA WA KUIGWA" MOJA KATI YA MANENO YA MWISHO YA SAJUKI KaBLA YA UMAUTI KUMKUTA.

Kwa haraka haraka mwigizaji Wastara amesifiwa sana na watu mbalimbali kwa moyo wake wa ushujaa wa ukweli wa upendo kwa Sajuki japo walipitia matatizo makubwa na mengi kwenye maisha yao.

Masanja Mkandamizaji na Arnold Kayanda ni miongoni mwa mastaa wa Tanzania waliopaza sauti zao kupitia mitandao ya kijamii kumsifia Wastara kwa moyo wa upendo.

Tukirudi kwa Dinno, namkariri akisema “tulipokuwa Arusha sisi watatu tu Sajuki alionyesha ishara ya kukata tamaa, siku moja tulikua hotelini usiku kama saa tisa hivi Wastara alikuja kuniamsha kwenye chumba changu nikaenda kwa Sajuki, alikua anaumwa sana akamwambia Wastara naomba mpigie mama niongee nae, Sajuki akamwambia mama yake mzazi kwamba Wastara nampenda sana, kanizalia mtoto mzuri anaitwa Farhini, naomba msimsumbue naomba msimpe shida yoyote amenisaidia sana, naomba mumwachie Farhini amlee amtunze mtamuona, yalikua maneno mazito sana mpaka machozi yakawa yananitoka”

Kwenye mstari mwingine Dinno amesema jambo jingine ambalo Sajuki aliliongea mwishoni ni kuhusu upendo miongoni mwa wasanii wa movie Tanzania, namkariri akisema “alikua ananiambia hebu jitahidi kuwa unakaa na wasanii, unajua sisi hatupendani Dinno ila mimi iko siku nitakuja kuropoka nikae na watu niwazungumzie tuweke upendo pamoja, tukishapendana tutafanya kitu Dinno”




Source;Millard Ayo

Wednesday, January 2, 2013

WAHUNI WALETA VURUGU SHOW YA DIAMOND.

Jana Usiku ndani ya maisha club palikuwa na show kubwa ya Usiku Wa Wasafi ila haikwenda kama ilivyo pangwa na msafi Diamond.Watu waliingia club hio mapema na tayari kwa show kali kutoka kwa Diamond. Show ilianza saa saba na nusu na baada ya dakika chache za Diamond kwenye stage fujo zilianza, Kundi kubwa la vijana wasiojulikana walianzan kutukana watu, kurusha chupa na viti, kupigana na kupora vitu vya thamani kutoka kwa mashabiki wa Diamond. Chupa zilipoanza kurushwa kwenye stage ,moja ilimpata Diamond mkononi na nyingine ilimjeruhi Bestizo Mkononi.Bestizo ni Camera Men na Social Media Personal Wa Diamond kupitia Thisisdiamond.com. Diamond alishuka kwenye stage na kwenda kwenye chumba cha mapumziko mpaka fujo zilipotulizwa.
 


Chid Benz aliongea na watu na kusema sio kitu kizuri kufanya fujo kwenye onyesho la msanii kama Diamond.Kwani kama una chuki na Diamond mfate mtaani na sio kwenye show yake kwani unaweza kuleta matatizo kwa mashabiki wasio na hatia. Pia Chid Benz alimtuliza Diamond na kumuomba apande kwenye stage kumaliza show na kuburudisha fans waliolipa na kuja kumuona mtu wao. 



Vitu vya thamani kama Cheni,Pete na Camera ya Bestizo ya ThisisDiamond iliporwa kwenye fujo hizo. Inasemekana Diamond na Uongozi wa maisha ulipata taarifa kuhusu uwezekano wa fujo hizi kutokea na hatua zilifanyika kuweka usalama zaidi ila vijana hawa walikuwa wengi na ndio sababu ya show ya Diamond Kuharibika.



sOURCE;SAm Misago

Tuesday, January 1, 2013

BABY MADAHA ANAKUMBUKA SHUKA KUMEKUCHA.

STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa kwa sasa.


Akizungumza kwa kujiamini, Baby Madaha aliweka wazi kuwa yupo bize sana na kazi zake za muziki na filamu hivyo suala la kunyonyesha litampotezea muda wake.


“We ubebe mimba sasa hivi, uilee halafu uje kunyonyesha, haya madili ya mjini yote yatafanywa na nani?” alihoji Baby Madaha na kuongeza
“Mikakati yangu kwa mwaka 2013 ni kuhakikisha nafanya mapinduzi makubwa katika muziki wa Bongo Fleva na filamu.”

source;Mateja