ushauri

Fay Pub

Fay Pub
Fay Pub Sinza,We Rock,it is a good place to be cool and usalama wa kutosha!!Fay Pub ipo Sinza kumekucha,nyuma ya Seven Up kama unaelekea shamool Hotel,, kwa maelekezo piga namba 0715 556453

tangaza

Sunday, March 24, 2013

CHINUA ACHEBE MWANDISHI WA "THINGS FALL APART" AMEFARIKI DUNIA.

Mwandishi mashuhuri kutoka Nigeria Afrika Chinua Achebe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 ambapo familia imekataa kuweka wazi sababu za kifo chake.



 
Chinua ambae amekua akitumia wheel chair toka mwaka 1990, amefariki dunia akiwa hospitali Boston Marekani jana asubuhi.

Kitabu cha kwanza cha Achebe ambacho ni ‘Things fall apart’ inasemekana ndio kitabu kinaachoongoza Afrika kwa kuchapishwa kwa lugha tofauti ambacho pia kilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1958.

No comments:

Post a Comment